London,England.
Klabu ya Chelsea imetupwa nje ya michuano ya kombe la FA baada ya kukubali kichapo cha goli 4-2 nyumbani toka kwa klabu ya daraja la kwanza ya Bradford City.
Chelsea ndiyo iliyokuwa ya kwanza kupata magoli ya kuongoza kupitia kwa mlinzi Garry Cahill na kiungo Ramiles kabla ya wageni Bradford City kuamka usingizini na kuanza kufunga goli moja baada ya jingine kwa magoli ya Andy Halliday,Filipe Morais,John Stead na Mark Yeates mpaka mwisho wa mchezo Chelsea 2-4 Bradford
Matokeo mengine ya kombe la FA ni kama ifuatavyo...
Blackburn Rovers 3 - 1 Swansea City
Birmingham City 1 - 2 West Bromwich Albion
Cardiff City 1 - 2 Reading
Derby County 2 - 0 Chesterfield Manchester City 0 - 2 Middlesbrough
Preston North End 1 - 1 Sheffield United
Southampton 2 - 3 Crystal Palace
Sunderland 0 - 0 Fulham
Tottenham Hotspur 1 - 2 Leicester City
Liverpool 0 - 0 Bolton
0 comments:
Post a Comment