Anaitwa Luis Van Gaal.Anatokea Uholanzi.Licha ya umahiri mkubwa katika ufundisha wa soka pia Van Gaal amekuwa ni kocha ambaye amekuwa akitibuana mara kwa mara na wachezaji nyota wa vilabu vingi ambavyo amewahi kuvifundisha.
Ifuatayo ni orodha ya wachezaji ambao ni kama paka na panya kwa Van Gaal...........................!!
Ifuatayo ni orodha ya wachezaji ambao ni kama paka na panya kwa Van Gaal...........................!!
0 comments:
Post a Comment