728x90 AdSpace

Thursday, August 13, 2015

COUTINHO ATEMWA KIKOSI CHA BRAZIL,KAKA,PAULISTA NDANI



Kiungo wa Liverpool Philippe Coutinho ametemwa katika kikosi cha Brazil (Selecao) kilichotangazwa leo na kocha mkuu Carlos Dunga.Brazil itavaana na Costa Rica Septemba 5 na Septemba 8 itavaana na Marekani.

Mbali ya Coutinho,23 nyota mwingine aliyetemwa ni mlinzi wa PSG Thiago Silva.Akitoa sababu Dunga amesema anatafuta balance (uwiano) kikosini [Tunahitaji uzoefu na siyo makinda]

Nyota walioongezwa kikosini ni Kaka,Hulk,Gabriel Paulista(Arsenal) na Lucas (PSG)

KIKOSI KAMILI

Jefferson, Marcelo Grohe, Alisson, David Luiz, Marquinhos, Gabriel Paulista, Miranda, Dani Alves, Filipe Luis, Danilo, Douglas Santos, Luiz Gustavo, Fernandinho, Elias, Ramires, Oscar, Firmino, Willian, Lucas Lima, Neymar, Kaka, Lucas, Hulk, Douglas Costa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: COUTINHO ATEMWA KIKOSI CHA BRAZIL,KAKA,PAULISTA NDANI Rating: 5 Reviewed By: Unknown