Hatimaye klabu ya Tottenham imeshinda mbio za kumsajili mshambuliaji kinda wa klabu ya Olympique Lyonnais Clinton Njie,21 baada ya ofa yake ya euro milioni 14 kukubaliwa na miamba hiyo ya Ufaransa.
Njie mzaliwa wa Cameroun anakuja Tottenham kuongeza nguvu katika safu cha ushambuliaji ambayo kwa kipindi kirefu imekuwa ikimtegemea Harry Kane pekee


0 comments:
Post a Comment