Kocha mkuu wa FC Barcelona Muhispania Luis Enrique anaamini nyota wake Neymar Jr alistahili zaidi kuwemo kwenye tatu bora ya nyota wanaowania tuzo ya mcheaji bora Ulaya kuliko nyota wa Real Madrid Mreno Cristian Ronaldo.
Enrique akifanya mahojiano leo alhamisi anasema ameshangazwa na kitendo cha chama cha soka cha Ulaya (UEFA) pamoja na wote waliopiga kura kumuunga mkono Ronaldo kuungana na Messi na Suarez badala ya Neymar.
[Nani aliyeamua Neymar asiwemo katika kinyang"anyiro hicho?]Aliuliza Enrique na kuongeza tatu bora ilipaswa kuwa Messi,Neymar,Suarez (MSN) na siyo vinginevyo]
Neymar amekuwa na mchango mkubwa sana katika upatikanaji wa mataji makubwa matatu tuliyoyatwaa msimu uliopita.
Wakati huohuo Enrique amesema kuwa bado haoni klabu ya kuisumbua klabu yake nje na ndani ya Hispania

0 comments:
Post a Comment