728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, September 25, 2016

    DROGBA AMPIGA KIJEMBE THEO WALCOTT MTANDAONI


    Montreal, Canada.

    GWIJI wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa ya Ivory Coast,Didier Drogba,amempiga kijembe winga wa Arsenal,Theo Walcott, kwa kuuita ushindi wa jana Jumapili wa mabao 3-0 kuwa ni kubahatisha tu.

    Walcott,28,ambaye alifunga bao la pili katika ushindi huo wa kwanza kwa Arsenal baada ya michezo tisa,alipeleka furaha ya ushindi huo mpaka katika mtandao wake wa twitter kuweka Ujumbe usemao 3-0.




    Mmoja kati ya watu waliouona ujumbe huo alikuwa ni Drogba,36,ambaye hakulaza damu na kuamua kumjibu Walcott kwa kumwambia.

    Hongera kaka kwa ushindi lakini kumbuka kuwa ni kawaida kwa panya kucheza/kutawala wakati mapaka hawapo!!


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: DROGBA AMPIGA KIJEMBE THEO WALCOTT MTANDAONI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top