Shinyanga,Tanzania.
BAADA ya kukosekana katika michezo miwili iliyopita ya ligi kuu bara dhidi ya Ndanda FC na Majimaji FC,beki Mtogo ,Vincent Bossou,leo ataongoza safu ya ulinzi ya Yanga kuvaana na Stand United katika mchezo utakaochezwa huko katika dimba la CCM Kirumba,Shinyanga.
KIKOSI KAMILI
1.Ally Mustapha
2Juma Abdul
3.Haji Mwinyi
4.Vincent Bossou
5.Vicent Andrew
6.Mbuyi Twite
7. Saimon Msuva
8.Thaban Kamusoko
9.Donald Ngoma
10.Amissi Tambwe
11.Deus Kaseke
Akiba
1.Deogeatius Munish Dida
2.Hassan Kessy
3.Canavaro
4.Kelvin Yondan
5.Haruna Niyonzima
6.Juma Mahadhi
7.Obrey Chirwa
0 comments:
Post a Comment