Na Faridi Ozil Miraji
Mechi namba 116 ( Mbao Fc vs Azam Fc) Kocha wa Azam Fc Zeben Hernandez amefungiwa mechi tatu (3) na Faini ya Sh 5000,000 baada ya kuondolewa kwenye benchi la ufundi ( orde red off) kwa kukataa kuheshimu mipaka ya eneo la ufundi ( technical area) katika mechi hiyo
Adhabu imezingatia kanuni ya 40 (11).
0 comments:
Post a Comment