Na Faridi Ozil Miraji
Uchunguzi dhidi ya waamuzi Matrin Saanya, Samuel Mpenzu ( mechi ya Yanga vs Simba) Thomas Mkombozi ( mechi ya Coastal Union vs KMC) na Rajabu Mrope ( mechi ya Mbeya City vs Yanga) umekalibia.
Hatua ya mwisho ya Uchunguzi huo ni waokufika mbele ya kamati ya uendeshaji na usimamizi wa ligi (kamati ya saa 72) ambapo watahojiwa ili kutoa ufafanuzi katika masuala mbalimbali yaliyojitokeza katika taarifa zao.
0 comments:
Post a Comment