Oslo,Norway.
Harry Kane (Pichani) akishangilia moja kati ya mabao yake mawili aliyoifungia Tottenham katika ushindi Wa mabao 6-1 dhidi ya Inter Milan katika mchezo mkali wa kimataifa wa kirafiki uliokwisha hivi punde huko Oslo,Norway.
Kane,23,amefunga mabao hayo mawili dakika ya 5 kwa mkwaju wa penati na dakika ya 57.
Mabao mengine ya Tottenham yamefungwa na Erik Lamela(40'), Dele Alli (52'),Vincent Janssen (65'),Shayon Harrison (77').Bao la kufutia machozi la Inter Milan limefungwa na Ivan Persic (24').
VIKOSI
Tottenham:Vorm,Walker,Alderweireld,Carter-Vickers, Rose; Dier, Mason; Lamela,Eriksen, Alli; Kane.
Inter Milan: Handanovic; Ansaldi,Miranda, Murillo, D'Ambrosio; Brozovic,Kondogbia; Biabiany, Banega, Perisic; Icardi
0 comments:
Post a Comment