Paul Manjale,Dar Es Salaam.
Klabu ya Simba imepanga kuandaa maandamano ya amani yatakayo fanyika tarehe 25 mwezi huu kwa lengo la kupeleka ujumbe kwa shirikisho la kandanda Tanzania juu ya maamuzi yake ya kuionea Simba.
Klabu hiyo yenye makao makuu yake Msimbazi,Dar Es Salaam imefikia uwamzi huo saa chache zilizopita baada ya kutoka kwa taarifa za shirikisho la soka nchini kumshitaki Afisa habari wa klabu hiyo Haji Manara kwa madai ya kutoiheshimu sheria ya soka kutoliheshimu shirikisho hilo.
0 comments:
Post a Comment