728x90 AdSpace

Saturday, April 15, 2017

Tambwe aanzia benchi kikosi cha Yanga kitakachovaana na MC Alger leo usiku


Algiers,Algeria.

MABINGWA wa Tanzania,Yanga SC leo usiku mishale ya 2:00 watashuka dimbani huko jijini Algers,Algeria kucheza na MC Alger katika mchezo wa marudiano wa kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika.

Kifuatacho ni kikosi ambacho kitaanza mchezo wa leo.

1. Deogratius Munishi 
2. Hassani Kessy 
3. Haji Mwinyi 
4. Kelvin Yondani 
5. Nadir Haroub 
6. Saidi Juma
7. Saimoni Msuva 
8. Thabani Kamusoko 
9. Donald Ngoma
10. Haruna Niyonzima 
11. Deusi Kaseke

Akiba

- Beno Kakolanya 
- Vicent Andrew
- Juma Andul
- Juma Mahadhi 
- Geofrey Mwashuiya 
- Amisi Tambwe 
- Emanuel Martin 



  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Tambwe aanzia benchi kikosi cha Yanga kitakachovaana na MC Alger leo usiku Rating: 5 Reviewed By: Unknown