728x90 AdSpace

Sunday, April 23, 2017

Haji Manara jela ya soka miezi 12


Dar Es Salaam,Tanzania.

Kamati ya Nidhamu ya TFF, imetangaza kumfungia miezi 12 Msemaji wa Simba, Haji Manara pamoja na kumlima faini ya Shilingi milioni 9.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Nidhamu ya TFF, Wakili Jerome Msemwa amesema Manara amefungiwa miezi 12 kutokana na utovu wa nidhamu.

Akizungumza na waandishi wa habari hivi punde, Msemwa amesema uamuzi huo umefikiwa baada ya kubaini Manara amefanya utovu mkubwa wa nidhamu.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Haji Manara jela ya soka miezi 12 Rating: 5 Reviewed By: Unknown