728x90 AdSpace

Saturday, April 15, 2017

Omog amrejesha benchi Manyika kikosi kinachoivaa Toto Africans leo


Mwanza,Tanzania.

KOCHA wa Simba SC Mcameroon,Joseph Omog amemrejea benchi kipa wake Peter Manyika Jr na nafasi hiyo kumpa Mghana,Daniel Agyei katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo ambayo jioni ya leo kitajitupa kwenye uwanja wa CCM Kirumba kucheza na Toto Africans.

Manyika Jr ambaye alidaka kwenye mchezo uliopita dhidi ya Mbao FC na Simba SC kushinda kwa mabao 3-2 anarejea benchi kuungana na nahodha Jonas Mkude ambaye anarejea kikosini baada ya kuukosa mchezo uliopita kutokana na kutumikia adhabu ya kadi tatu za njano.Said Ndemla atakuwa nje kutokana na kuwa na adhabu ya kukosa mchezo mmoja.

1. Daniely Agyei
2. Janvier Bokungu
3. Mohamedy Zimbwe
4. Novart Lufunga
5.Juuko Murshid
6. James Kotei
7. Shizza Kichuya
8. Mzamiru Yasin
9. Laudit Mavugo
10.Mohamed Ibrahim
11.Fredrick Noel Blagnon

Benchi

1.Manyika Peter
2.Hamad Juma
3.Jonas Mkude
4. Juma Luizio 
5.Pastory Athanas

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Omog amrejesha benchi Manyika kikosi kinachoivaa Toto Africans leo Rating: 5 Reviewed By: Unknown