728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, April 28, 2017

    Huyu Ndiye Shabiki Anayedaiwa Kufanana Zaidi na Lionel Messi


    Iran

    HUYU pichani ni Lionel Messi?Hapana!!Ni shabiki wa soka wa nchi ya Iran,Riza Perestes ambaye amejizolea umaarufu mkubwa pande nyingi za dunia kutokana na kufanana na nyota huyo wa Barcelona na Argentina.

    Chini ni Perestes katika pozi mbalimbali


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Huyu Ndiye Shabiki Anayedaiwa Kufanana Zaidi na Lionel Messi Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top