728x90 AdSpace

Saturday, April 15, 2017

Tottenham yaibamiza Bournemouth na kuendelea kuifukuza Chelsea kileleni


London,England.

Harry Kane na Son Heung-min (Pichani) wakipongezana baada ya kila mmoja kuifunga Tottenham Hotspur bao moja katika ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya AFC Bournemouth katika mchezo wa ligi kuu England uliochezwa huko White Hart
Lane.



Mabao mengine ya Tottenham Hotspur kwenye mchezo huo yamefungwa na Mousa Dembele pamoja na Vincent Janssen na kuifanya miamba hiyo ya London iendelee kujiimarisha kwenye nafasi yake ya pili baada ya kufikisha pointi 71.Pointi nne nyuma ya vinara Chelsea wenye pointi 75.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Tottenham yaibamiza Bournemouth na kuendelea kuifukuza Chelsea kileleni Rating: 5 Reviewed By: Unknown