728x90 AdSpace

Sunday, April 30, 2017

Chelsea yazidi kuukaribia ubingwa ligi kuu England


Liverpool,England.

CHELSEA imeendelea kuusogelea ubingwa wa ligi kuu ya soka nchini England baada ya jioni ya leo ikiwa ugenini Goodson Park kuifunga Everton kwa mabao 3-0.

Mabao yaliyoipa Chelsea pointi tatu muhimu katika mchezo wa leo yamefungwa na Pedro Rodriguez katika dakika ya 66 na Garry Cahill katika dakika ya 79 na Willian katika dakika ya 86.



Ushindi huo umeifanya Chelsea iendelee kung'ang'ania kileleni baada ya kufikisha pointi 81.Pointi saba mbele Tottenham yenye pointi 74.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Chelsea yazidi kuukaribia ubingwa ligi kuu England Rating: 5 Reviewed By: Unknown