728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, April 23, 2017

    Serikali yaingilia kati suala la kadi tatu za Fakhi


    Dar Es Salaam,Tanzania.

    Serikali imeingilia sakata la Simba kuhusiana na lile suala la kadi tatu za njano za beki wa Kagera Sugar,Mohamed Fakhi.

    Serikali kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT), imesema haifurahishwi na
    hali inavyokwenda na TFF wanapaswa kulishughulikia.

    BMT imetaka TFF kulishughulikia suala hilo kwa uadilifu na haki ipatikane huku ikisisitiza, Simba inapaswa kuwa makini na kuangalia suala la amani na usalama wa taifa.

    Hivi karibuni, Simba ilitishia kuandamana ikidai kuna dalili za kutotendewa haki huku ikimlaumu moja kwa moja Rais wa TFF, Jamal Malinzi ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Kagera pia, Jamal Malinzi.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Serikali yaingilia kati suala la kadi tatu za Fakhi Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top