728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, April 20, 2017

    Kiporo chaichachia Ndanda FC Shinyanga,yanyukwa 3-0 na Stand United


                                                  Stand United


    Shinyanga, Tanzania.

    NDANDA FC ya mkoani Mtwara imechapwa mabao 3-0 na Stand United katika mchezo safi wa kiporo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliochezwa jioni ya leo katika dimba la uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga.

    Mabao ya Stand United maarufu kama Chama la Wana yamefungwa kipindi cha pili na Jacob Masawe 58',Frank Hamis 68' na Adam Salamba 74.

    Ushindi huo umeifanya Stand United ifikishe pointi 35 na kupanda mpaka nafasi ya sita kwenye msimamo wa ligi kuu bara.Ndanda FC imebaki katika nafasi ya 13 na pointi zake 30. 


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Kiporo chaichachia Ndanda FC Shinyanga,yanyukwa 3-0 na Stand United Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top