728x90 AdSpace

Saturday, April 29, 2017

La Liga:Barca,Madrid vibaruani leo,michezo minne kuvurumishwa Hispania


Madrid,Hispania.

LIGI daraja la kwanza nchini Hispania maarufu kama La Liga inatarajiwa kuendelea tena leo Jumamosi kwa michezo minne ya ligi hiyo kuchezwa.

Ratiba Kamili

Real Sociedad v Granada (14:00)
Real Madrid v Valencia (17:15)
Las Palmas v Atlético de Madrid 19:30
Espanyol v Barcelona 21:45

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: La Liga:Barca,Madrid vibaruani leo,michezo minne kuvurumishwa Hispania Rating: 5 Reviewed By: Unknown