Pemba,Zanzibar.
Robo fainali ya kwanza ya michuano ya kombe la mapinduzi inatarajiwa kuanza leo jumatano kwa mechi moja kati ya mabingwa wa zamani wa michuano Simba watakapoumana na timu ya Taifa ya Jang'ombe mishale ya saa 2:15 usiku.
Robo fainali nyingine itakuwa hapo kesho alhamisi ambapo miamba yote iliyobaki itajitupa dimbani kuwania nafasi ya kutinga nusu fainali.
Ratiba ni kama ifuatavyo
Kcca vs Polisi
Azam vs Mtibwa
Yanga vs Jku
0 comments:
Post a Comment