728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, January 07, 2015

    COPA DEL REY:LEO NI MAHASIMU ATL MADRID NA REAL MADRID

    Madrid,Hispania.

    Leo ni leo katika dimba la Vicente Cardelon ambapo mahasimu wawili wa jiji la Madrid hilo Atl Madrid watakapo vaana na Real Madrid katika mcheza wa hatua ya 16 bora ya kombe la mfalme (Copa del Rey) mishale ya saa 5 usiku.

    Katika mchezo huo ambao Atl Madrid itakuwa nyumbani kocha wake Muargentina Diego Simeone amepanga kumtumia kwa mara ya kwanza mshambuliaji mpya wa klabu hiyo Fernando Torres katika kuhakikisha anashinda mtanange huo kabla ya kurudiana tena tarehe 15 ya mwezi huu.

    Copa del rey lilianzishwa mwaka 1903 likishindanisha jumla ya timu 83 huku bingwa mtetezi wa michuano hiyo ikiwa ni klabu ya Real Madrid.

    Matokeo ya Mechi za Jana

    Atl Billibao 4-2 Celta Vigo

    Malaga 2-1 Levante

    Ratiba ya Kesho

    Barcelona vs Elche

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: COPA DEL REY:LEO NI MAHASIMU ATL MADRID NA REAL MADRID Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top