Milan,Italia.
Kiungo wa Liverpool Muhispania Suso (21) ameripotiwa kusaini mkataba wa miaka 4 wa kujiunga na klabu ya Ac Milan ya Italia.
Hata hivyo Suso aliyejiunga na Liverpool akiwa na umri wa miaka 16 na kusaini mkataba wa kulipwa mwaka 2012 atajiunga na Ac Milan mwezi mei akiwa kama mchezaji huru.
0 comments:
Post a Comment