Klabu ya Simba, leo saa 7:00 mchana, itaendelea na zoezi la kuwaaga baadhi ya wachezaji ambao hawatakuwa sehemu ya kikosi hicho kwa msimu ujao.
" Kupitia Simba App, tunatoa taarifa ya mchezaji mwingine anayeondoka kwenye timu yetu, uongozi unafanya juhudi kuhakikisha tunatengeneza Simba tishio ili kurejesha makali yetu". - Ahmed Ally.
0 comments:
Post a Comment