Dirisha la usajili msimu wa 2024/2025 kwa Klabu za Ligi Kuu na Championship, First League (FL) na Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) limefungulia Juni 15, 2024.
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) na
(TFF) imezifungia klabu zifuatazo kusajili mpaka zitakapowalipa wachezaji wanaozidai;
1. Young Africans
2. Singida Fountain Gate FC
3. Tabora United FC
4. Biashara United FC
5. FGA Talents FC
Klabu ambayo itawalipa wahusika, itaondolewa mara moja adhabu ya kufungiwa kusajili.
Hadi leo asubuhi kupitia mumo wa FIFA (FIFA legal portal) hakuna taarifa ya klabu yoyote kati ya hizo iliyowalipa wahusika.
0 comments:
Post a Comment