Los Angels,Marekani.
Kiungo Steven Gerrard 34 jana jumanne alitua makao makuu ya klabu ya Los Angels Galaxy kwa ajili ya kusaini mkataba wa kujiunga na miamba hiyo ya MLS.
Gerrard anatarajiwa kusaini mkataba wa miezi 18 wenye thamani ya £6m huku akitarajiwa kuziba nafasi ya kiungo Landon Donovan anayestaafu.
Gerrard anatarajiwa kuanza kuitumikia klabu hiyo pindi mkataba wake na klabu ya Liverpool utakapokoma mwezi mei.
0 comments:
Post a Comment