Mwaka 2015 ukiwa unafikia tamati leo alhamis Soka Extra kwa msaada wa mitandao mbalimbali inakuletea timu tano bora za mwaka za Afrika kwa kuzingatia mafanikio ya timu husika.
1. Ivory Coast (CAF African Cup of Nations Winners 2015)
2. Nigeria under 17 (FIFA U17 World Champions)
3. TP Mazembe of DRC (CAF Champions League Winners 2015)
4. Nigeria under 23 (CAF U-23 Afcon Winners 2015)
5. Etoile Sahel of Tunisia (CAF Confederations Cup Winners 2015)
0 comments:
Post a Comment