728x90 AdSpace

Saturday, December 26, 2015

LIVERPOOL YAIZIMA LECEISTER CITY,YAIPIGA 1-0 ANFIELD,CHELSEA YABANWA NYUMBANI NA WATFORD,MAN CITY YAIFANYIA MAUAJI SUNDERLAND

Liverpoo,ENGLAND

Liverpool:Liverpool ikiwa nyumbani Anfield imeitambia Leceister City baada ya kuilaza kwa bao 1-0.Bao pekee la mchezo huo limefungwa na Christian Benteke dakika ya 63.

Manchester:Manchester City imeitandika Sunderland kwa mabao 4-1 katika mchezo mkali uliopigwa katika dimba la Ettihad jijini Manchester. Magoli ya Manchester City yamefungwa na Raheem Sterling,Yaya Toure,Wilfred Bony na Kevin De Bruyne,goli la Sunderland limefungwa na Fabio Borini 

London:Chelsea imetoka sare ya magoli 2-2 na Watford nyumbani Stamford Blidge.Magoli ya Chelsea ya Chelsea yamefungwa na Diego Costa huku yale ya Watford yakifungwa na Troy Deeney na Odion Ighalo.

Michezo mingine 

Tottenham 3-0 Norwich
Swansea 1-0 West Brom
Aston Villa 1-1 Westham
Bournemouth 0-0 Crystal Palace.



  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: LIVERPOOL YAIZIMA LECEISTER CITY,YAIPIGA 1-0 ANFIELD,CHELSEA YABANWA NYUMBANI NA WATFORD,MAN CITY YAIFANYIA MAUAJI SUNDERLAND Rating: 5 Reviewed By: Unknown