728x90 AdSpace

  • Latest News

    Saturday, December 19, 2015

    LIGI KUU ENGLAND:MAN UNITED,CHELSEA ZIKO NYUMBANI,VINARA LECEISTER CITY WAPELEKA BALAA LAO KWA EVERTON

    London,England.

    Ligi kuu nchini England (EPL) leo jumamosi inatarajiwa kuendelea kuvuta kasi ambapo vinara wa ligi hiyo Leceister City wao watakuwa wageni wa Everton huko Goodson Park,Stamford Blidge Chelsea itawakaribisha Sunderland na huko Old Trafford Manchester Unite ikiwakaribisha Norwich City.

    Ratiba kamili iko kama ifuatavyo....

    Chelsea vs Sunderland (18:00)
    Everton vs Leicester (18:00)
    Man Utd vs Norwich (18:00)
    Southampton vs Tottenham (18:00)
    Stoke vs Crystal Palace (18:00)
    West Brom vs Bournemouth (18:00)
    Newcastle vs Aston Villa (20:30)








    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: LIGI KUU ENGLAND:MAN UNITED,CHELSEA ZIKO NYUMBANI,VINARA LECEISTER CITY WAPELEKA BALAA LAO KWA EVERTON Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top