728x90 AdSpace

Saturday, December 26, 2015

LIGI KUU TANZANIA BARA:SIMBA,YANGA DIMBANI LEO, AZAM FC KESHO,RATIBA YOTE HII HAPA

Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara inatarajiwa kuendelea tena leo kwa viwanja sita kuwaka moto ambapo timu kumi na mbili zitakuwa zikichuana kuwania pointi tatu muhimu.

Mabingwa watetezi na vinara wa ligi hiyo Yanga SC wao watakuwa Uwanja wa taifa kuvaana na Mbeya City huku watani wao wa jadi Simba SC wao watakuwa mjini Shinyanga katika dimba la Kambarage kumenyana na Mwadui FC. 

Ratiba kamili iko kama ifuatavyo.....

Desemba 26, 2015
Ndanda FC vs JKT Ruvu
Yanga SC vs Mbeya City
Majimaji vs Prisons
Mwadui FC vs Simba SC
Mtibwa Sugar vs Mgambo JKT
Coastal Union vs Stand United

Desemba 27, 2015
Azam FC vs Kagera Sugar
Toto Africans vs African Sports

Desemba 30, 2015
Azam FC vs Mtibwa Sugar

Januari 1, 2015
Ndanda FC vs Simba SC




  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: LIGI KUU TANZANIA BARA:SIMBA,YANGA DIMBANI LEO, AZAM FC KESHO,RATIBA YOTE HII HAPA Rating: 5 Reviewed By: Unknown