Watford,England.
Magoli mawili ya mshambuliaji Odion Ighalo na moja la Mlinzi Nathan Ake yameipa Watford ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Liverpool katika mchezo mkali wa ligi kuu uliopigwa jioni ya leo katika dimba la Watford.
Magoli yaliyoipa ushindi Watford yamefungwa dakika za 3,15 na 85.Kufuatia ushindi huo Watford imechupa mpaka nafasi ya 7 baada ya kujikusanyia pointi 28 huku Liverpool ikibaki nafasi ya 9 na pointi 24.
Vikosi vilikuwa kama ifuatavyo ni.....
Watford: Gomes; Nyom,Britos, Cathcart, Ake;Capoue, Watson; Abdi (Behrami 80′), Deeney,Jurado (Anya 76′); Ighalo (Guedioura 88′)
Liverpool: Bogdan; Clyne, Skrtel (Origi 41′),Sakho, Moreno; Henderson, Lucas, Can;Lallana (Ibe 74′), Firmino (Benteke 74′),Coutinho
0 comments:
Post a Comment