Winga toka Niger, Issoufou Boubacar Garba "Diego" amefuzu vipimo vya afya katika klabu ya Yanga.
Garba amefanyiwa vipimo hivyo leo jijini Dar es salaam na tayari kuna habari kuwa nyota huyo anayetumia mguu wa kushoto uwanjani atasaini mkataba wa miaka miwili akichukua nafasi ya Mbrazil Andre Coutinho aliyeachwa hivi karibuni.
0 comments:
Post a Comment