728x90 AdSpace

  • Latest News

    Saturday, December 26, 2015

    HAWA NDIYO WACHEZAJI KUMI WALIOFANYA VIZURI ZAIDI MWAKA 2015

    Barcelona,Hispania.

    Gazeti la michezo la Hispania la Marca limetoa orodha ya wachezaji kumi waliofanya vizuri zaidi kwa mwaka 2015 toka katika ligi mbalimbali kubwa duniani.

    Katika orodha hiyo ambayo hutolewa na gazeti hilo kila mwisho wa mwaka kutambua mchango wa wanasoka katika mwaka husika FC Barcelona imeongoza kwa kuingiza nyota wengi zaidi kufuatia kutwaa mataji matano mwaka 2015 huku ligi za Ufaransa na Uingereza zikitoka patupu.

    Orodha kamili iko kama ifuatavyo.......

    1-) Lionel Messi (Barca)
    2-) Neymar (Barca)
    3-) Luis Suarez ( Barca)
    4-) Andres Iniesta (Barca)
    5-) Robert Lewandowski ( Bayern Munich)
    6-) Sergio Busquets (Barca )
    7-) Claudio Bravo ( Barca)
    8-) Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
    9-) Antoine Griezmann ( Atletico)
    10-) Paul Pogba (Juve )



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HAWA NDIYO WACHEZAJI KUMI WALIOFANYA VIZURI ZAIDI MWAKA 2015 Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top