Dar es salaam,Tanzania.
Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga SC watacheza michuano ya Mapinduzi Cup
visiwani Zanzibar mapema mwezi Januari na lengo kuu ni kutwaa ubingwa huo.
Jerr Muro amesema hivi
“Kweli tutashiriki, lakini tunataka kuongeza makombe hivyo tunataka kulichukua Kombe la Mapinduzi na kurudi nalo Dar es Salaam.
“Tunapoamua kushiriki basi hatuwezi kufanya mzaha hata kidogo,”
0 comments:
Post a Comment