Leceister,England.
Leceister City na Manchester City zimetoka sare ya 0-0 katika mchezo mkali wa ligi kuu uliopigwa jumanne usiku katika uwanja wa King Power,Leceister.
Licha ya timu zote kufanya mashambulizi makali lakini mpaka mpaka dakika 90 zinaisha hakuna goli lililofanikiwa kufungwa.
Kufuatia matokeo hayo Leceister City inaumaliza mwaka 2015 ikiwa nafasi ya pili nyuma ya Arsenal kwa tofauti ya magoli baada ya zote kuwa na pointi 39 huku Manchester City ikifuatia katika nafasi ya tatu na pointi 36.
Vikosi:
Leicester (4-3-3): Schmeichel; Simpson,
Morgan, Huth, Fuchs; Kante, Drinkwater, Inler;Mahrez, Vardy, Albrighton.
Mchezo ujao:Bournemouth.
Man City (4-2-3-1): Hart,Sagna, Mangala,
Otamendi, Kolarov; Fernandinho, Toure;De
Bruyne, Silva, De Bruyne; Aguero.
0 comments:
Post a Comment