Abuja,Nigeria.
Shirikisho la vyama vya soka Afrika (CUF) leo jumatatu limetangaza majina ya nyota wanaowania tuzo mbalimbali kwa msimu wa 2014/2015 katika hafla iliyofanyika huko Abuja,Nigeria.
Baadhi ya tuzo hizo ni mchezaji bora wa mwaka kwa wanaume ambayo inawaniwa na Andre Ayew (Ghana/ Swansea City),Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon/Borussia Dortmund) na Yaya Toure (Cote d”Ivoire Manchester City).
Tuzo nyingine ya mchezaji bora wa mwaka kwa wachezaji wanaocheza ndani ya Afrika:Wanaoiwania ni Baghdad Boundjah (Algeria/: Etoile du Sahel), Mbwana
Aly Samata (Tanzania/ TP Mazembe) na Robert diaba (DR Congo/ TP Mazembe) .
Washindi watapatikana kwa kupigiwa kura na makocha wa timu za taifa/wakurugenzi wa ufundi huko Abuja,Nigeria Januari 7,2016.
Tuzo nyingine ni:
Mchezaji bora wa kike
Gabrielle Onguéné,(Cameroon), Gaelle Enganamouit,(Cameroon) Ngozi Ebere (Nigeria) N'rehy Tia Ines (Cote d’Ivoire) na
Portia Boakye (Ghana)
Mchezaji bora chipukizi
Adama Traore (Mali) Kelechi Nwakali (Nigeria) Samuel Diarra (Mali) Victor Osimhen (Nigeria) na Yaw Yeboah (Ghana)
Vipaji vinavyochipukia
Azubuike Okechukwu, Nigeria, Etebo Oghenekaro (Nigeria) Djigui Diarra (Mali),Mahmoud Abdelmonem 'Kahraba’(Egypt) na Zinedine Ferhat (Algeria)
Kocha bora wa mwaka
Baye Ba (Mali U17),Emmanuel Amunike (Nigeria U17),Fawzi Benzarti (Etoile Sportive de Sahel),Hervé Renard (Cote d’ivore) na Patrice Carteron (TP Mazembe)
Mwamuzi bora wa mwaka
Alioum (Cameroon) Bakary Papa GASSAMA (Gambia) Eric Arnaud OTOGO CASTANE (Gabon) Ghead Zaglol GRISHA (Egypt) na
Janny SIKAZWE (Zambia)
Ligendi wa Afrika
Charles Kumi Gyamfi (Ghana) na Samuel Mbappé Léppé (Cameroon)
Timu bora ya taifa
Cote d’Ivoire, Ghana, Mali U17, Nigeria U17 na Nigeria U-23
Timu ya taifa bora ya wanawake
Ghana, Cameroon, South Africa na Zimbabwe
Klabu bora ya mwaka
USM Algers (Algeria),TP Mazembe (DR Congo), Orlando Pirates (South Africa) na Etoile Sportive du Sahel, (Tunisia)
0 comments:
Post a Comment