728x90 AdSpace

Monday, December 14, 2015

DROO LIGI YA MABINGWA:ARSENAL YATUPWA KWA BARCELONA,CHELSEA YARUDI KWA PSG/DROO YOTE IKO HAPA




Droo ya ligi ya mabingwa hatua ya 16 bora imepangwa mchana huu ambapo Arsenal itavaana na FC Barcelona huku Chelsea ikikutana tena na mabingwa wa Ufaransa PSG.Michezo ya awali itachezwa Februari 16-17 na 23-24 ile ya marudiano ikichezwa March 8-9 na 15-16.




  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: DROO LIGI YA MABINGWA:ARSENAL YATUPWA KWA BARCELONA,CHELSEA YARUDI KWA PSG/DROO YOTE IKO HAPA Rating: 5 Reviewed By: Unknown