728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, December 30, 2015

    SCHWEINSTEIGER AWABURUZA WACHINA MAHAKAMANI KWA KUTENGENEZA MDOLI UNAOFANANA NAE


    Manchester, England.

    UCHOKOZI TU!!Kiungo wa Manchester United Mjerumani Bastian Schweinsteiger anajiandaa kuiburuza mahakamani kampuni ya kichina ya 'Did' baada ya kutengeneza mdoli unaofanana nae kuanzia sura mpaka viungo vingine tena ukiwa umevikwa mavazi ya askari wa utawala wa zamani wa kibabe WaKinazi.

    Hiyo tisa,kumi ni kuwa mdoli huo unaitwa Bastian ambalo ni jina la kwanza la nyota huyo wa zamani wa Bayern Munich.

    Ushahidi huu hapa......
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: SCHWEINSTEIGER AWABURUZA WACHINA MAHAKAMANI KWA KUTENGENEZA MDOLI UNAOFANANA NAE Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top