London,England.
Kiungo Alex Song Bilong 27 jana usiku alitangaza rasmi kuitema timu yake ya taifa ya Cameroon inayojiwinda na michuano ya mataifa ya Africa (AFCON).
Song anayekipiga katika klabu ya West ham amefikia uamuzi huo baada ya kutojumuishwa katika kikosi hicho tangu alipolimwa kadi nyekundu katika fainali zilizopita za kombe la dunia baada ya kumpiga kwa makusudi mshambulia Mario Mandzukic.
0 comments:
Post a Comment