Usiku wa kuamkia leo klabu ya Juventus imeshindwa kuutumia vizuri uwanja wake wa nyumbani wa Juventus Stadium baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na Inter Milan.
Juventus ndiyo ilikuwa ya kwanza kupata bao dakika ya 5' baada ya mshambuliaji wake Carlos Teves kuunganisha vizuri krosi ya kiungo Athuro Vidal lakini Mauro Icardi aliisawazishia Nerazzurri (Inter) dakika ya 64 akiunganisha pasi ya kupenyeza ya kiungo Fredy Guarin.
Kufuatia sare hiyo sasa Juventus iko juu ya Roma kwa pointi 1 baada ya klabu hiyo ya jiji la Roma kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Udinese Calcio.
Vikosi
Juventus
Buffon; Chiellini, Bonucci,
Lichtsteiner, Evra; Pogba, Marchisio, Pirlo,
Vidal (Pereyra 78); Tevez, Llorente (Morata
63)
Benchi: Marrone, Pepe,Giovinco,
Storari, Rubinho, Ogbonna, Padoin, Coman,
Mattiello, Caceres
Inter Milan: Handanovic; Juan,Campagnaro, Ranocchia, D'Ambrosio;
Kovacic, Guarin, Kuzmanovic (Podolski 54),
Medel, Hernanes (Osvaldo 85), Icardi (M'Vila
89)
Benchi: Obi, Carrizo, Andreolli,
Bonazzoli, Dodo, Donkor,Vidic, Puscas, Krhin
0 comments:
Post a Comment