728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, March 31, 2016

    YANGA,AZAM DIMBANI LEO ROBO FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO

    Dar es salaam,Tanzania.

    Yanga na Azam leo jioni zitajitupa katika viwanja vya Taifa na Chamazi Complex katika michezo ya robo fainali ya kuwania kombe la shirikisho.

    Yanga itakuwa Uwanja wa Taifa kuvaana na Ndanda huku Azam ikiwa nyumbani Chamazi kupepetana na Prisons ya Mbeya.Michezo yote itapigwa kuanzia saa 10:30 jioni.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: YANGA,AZAM DIMBANI LEO ROBO FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top