Chad,
Timu ya taifa ya Chad imejitoa kwenye michuano ya kuwania kucheza michuano ya Afcon itakayofanyika mwakani nchini Gabon.
Sababu ya kujitoa kwa Chad ambayo kesho jumatatu ilipaswa kucheza na Taifa Stars jijini Dar es salaam imedaiwa kuwa ni ukosefu wa pesa za nauli za kuja na kurudi.
Kwa maana hiyo mchezo kati ya Taifa Stars na Chad hautakuwepo.
0 comments:
Post a Comment