Melbourne,Australia.
Manchester City imekiona cha mtema kuni baada ya leo kufungwa na Real Madrid kwa jumla ya goli 4-1 katika mchezo mkali wa kikombe cha International Champions Cup ulioisha hivi punde huko Melbourne,Australia.
Magoli ya Real Madrid yamewekwa kimiani na Karim Benzema,Cristian Ronaldo,Pepe na Denis Cheryshev huku lile la Manchester City likifungwa na Yaya Toure.
DELPH
Kiungo mpya wa Manchester City Fabian Delph alitolewa nnje ya dimba kwa machela dakika ya 28 baada ya kuumia misuli.
KITUKO
0 comments:
Post a Comment