Tarehe kama ya leo julai 30 mwaka 1966 Bobby Moore
, Geoff Hurst na Martin Peters waliisaidia England kutwaa kombe la dunia baada ya kuibuka na ushindi goli 4-2 dhidi ya Ujerumani Magharibi katika mchezo mkali uliopigwa katika dimba la Wembley,London.
Magoli ya Ujerumani Magharibi yalifungwa na Wolfgang Weber na Helmut Haller
0 comments:
Post a Comment