Michuano ya Kombe la Kagame imeendelea leo kwa mechi za robo fainali kupigwa.Katika mchezo wa kwanza klabu ya Khartoum (Sudan) kuibuka na ushindi mnono wa goli 4-0 dhidi ya klabu ya APR (Rwanda)
Katika mchezo wa pili klabu ya Gor Mahia imeibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya klabu ya Malakai.
Kwa matokeo haya Gor Mahia itavaana na Khartoum katika hatua ya nusu fainali
Kesho jumatano:
Al Shandy v KCCA (Uganda) 7:45
Azam Fc v Yanga Sc 10:00
0 comments:
Post a Comment