728x90 AdSpace

Tuesday, July 21, 2015

RATIBA YA MECHI ZA EMIRATES CUP HII HAPA PAMOJA NA UTARATIBU WA UGAWAJI POINTI

Jumamosi, July 25
14.00 – VfL Wolfsburg v Villarreal
16.20 – Arsenal v Olympique Lyonnais

Jumapili, July 26
14.00 – Olympique Lyonnais v Villarreal
16.20 – Arsenal v VfL Wolfsburg

Utaratibu wa pointi utakuwa kama ifuatavyo:

3 pointi kwa ushindi
1 pointi sare
1 pointi kwa kila goli
0 pointi kwa kufungwa

Kama timu mbili au zaidi zitalingana kwa pointi,vigezo vifuatavyo vitatumika.

a) Uwiano mzuri wa magoli ya kufunga/kufungwa.
b) Kama bado sawa - maamuzi yatafanywa kwa kutazama idadi kubwa ya magoli yaliyofungwa
c) Kama bado sawa - timu iliyopiga magoli mengi golini ndiyo itakuwa imepita.



  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: RATIBA YA MECHI ZA EMIRATES CUP HII HAPA PAMOJA NA UTARATIBU WA UGAWAJI POINTI Rating: 5 Reviewed By: Unknown