Klabu ya Chelsea imeanza vibaya michezo yake ya kujipima nguvu katika ardhi ya Marekani baada ya kukutana na kichapo kizito toka kwa klabu ya nchini humo ya New York Red Bull.
Katika mchezo huo uliomalizika muda mchache uliopita katika dimba Red Bull Arena lenye uwezo wa kuchukua watazamaji 24000 magoli ya wenyeji Redbull yalifungwa na Adams (70) Sean Davis (73 na 77) na Rivera (51) huku yale ya Chelsea yakifungwa na Loic Remy (26) na Hazard (75).
Michezo ijayo ya Chelsea
Jumamosi (Julai 25): Chelsea v Paris Saint Germain
Jumatano(Julai 29):Chelsea v Barcelona
Ngao ya jamii
Agosti 5: Chelsea v Arsenal
0 comments:
Post a Comment