Baada ya uvumi wa siku kadhaa sasa ni rasmi kuwa kiungo Mwinyi Kazimoto amerejea Simba SC akitokea nchini Qatar alikokuwa akisukuma ndinga la kulipwa.
Kazimoto ambaye alicheza kwa mafanikio Simba kipindi cha nyuma amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuwachezea wakali hao wa mtaa wa Msimbazi,Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment