1) Cristiano Ronaldo: Wastani wa goli kwa mchezo 0.97 (Magoli 42 katika michezo 43) Magoli 39 akiwa na Real Madrid,3 akiwa na Ureno.
2) Robert Lewandowski: Wastani wa goli kwa mchezo 0.95 (Magoli 40 katika michezo 42) Magoli 31akiwa na Bayern,9 akiwa na Poland.
3) Lionel Messi: Wastani wa goli kwa mchezo 0.84 (Magoli 45 katika michezo 53.Magoli 41 akiwa na Barcelona,4 akiwa na Argentina.
4) Zlatan Ibrahimovic: Wastani wa goli kwa mchezo 0.78 (Magoli 30 katika michezo 38).Magoli 22 akiwa na PSG,8 akiwa na Sweden
5) Pierre-Emerick Aubameyang: Wastani wa goli kwa mchezo 0.76 (Magoli 33 katika michezo 43).Magoli 28 akiwa na Borussia Dortmund,5 akiwa na Gabon.
0 comments:
Post a Comment