London,England.
Wayne Rooney amekabidhiwa kiatu cha dhahabu jana ijumaa baada ya kuwa mfungaji bora wa wa muda wote wa timu ya taifa ya England akifikisha magoli 50 na kumzidi nyota wa zamani wa taifa hilo Sir Bobby Charlton aliyefunga magoli 49.
Rooney alifikisha magoli hayo baada ya kufunga goli moja katika mchezo ambao England iliibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Uswisi.
0 comments:
Post a Comment